Global Newsbeat: Wanawake waliochagua kupenda nywele zao za mvi

Global Newsbeat: Wanawake waliochagua kupenda nywele zao za mvi

Kate Dinota alikuwa na miaka saba tu pale mamake alipogundua alikuwa na mvi kichwani.

Alipofika miaka kumi na nne, aliamua kupaka nywele zake rangi, na sasa akiwa miaka 28 ametumia dola elfu 18 saluni akificha nywele zake na sasa ameamua kujikubali alivyo.

Je, utafanya nini utakapogundua una mvi? Tueleze kwenye ukurasa wetu wa Facebook, bbcnewsSwahili.