Mirjana Kika Milosevic: Mwanamke stadi wa mazingaombwe ya kujipaka rangi

Mirjana Kika Milosevic: Mwanamke stadi wa mazingaombwe ya kujipaka rangi

Mirjana Kika Milosevic ni mwanamke mwenye uwezo wa kipekee unaomuwezesha kuficha sehemu za mwili wake asionekane.

Hufanya hivyo kwa kujipaka rangi jambo analosema humridhisha na kumuwezesha kuwa mtu tofauti, angalau kwa muda, na pia kuwaburudisha wengine.