'Nikienda dukani, siwezi kujizuia kutumia pesa'
Huwezi kusikiliza tena

Kliniki ya Fedha: 'Kwa kutumia pesa si siri, nazitumia'

Masuala ya kifedha huchangia sana katika uhusiano kwenye familia na mara kwa mara kutoelewana kuhusu matumizi ya fedha huchangia ndoa kuvunjika.

Jijini Nairobi tumezungumza na Victoria na Kenneth Kavuti, wanaofanya kazi Nairobi.

Mada zinazohusiana