Mambo muhimu kuhusu maradhi ya mshtuko wa moyo
Huwezi kusikiliza tena

Mambo muhimu kuhusu maradhi ya mshtuko wa moyo

.Ugonjwa wa moyo ndio ugonjwa mkubwa unaosababisha vifo vingi duniani na kwamba kila unavyoendelea

kuchelewesha tiba kwa saa moja, hatari ya kifo inapanda kwa 10% Ijapokuwa huwaathiri sana watu wazee, mshtuko wa moyo unaweza kumuathiri mtu mwenye umri wowote