Kampuni ya mavazi na mapambo  Burberry yachoma bidhaa za thamani ya mamilioni
Huwezi kusikiliza tena

Kampuni ya mavazi na mapambo Burberry yachoma bidhaa za thamani ya mamilioni

Burberry, kampuni ya mitindo ya kisasa, imeharibu nguo, vifaa na marashi ambayo ilishindwa kuuza zenye thamani ya pauni milioni 28 kwa kile ilichokitaja kuwa ni kulinda thamani ya bidhaa zao. Je, ni nini tofauti kampuni hiyo ingefanya badala ya kuchoma bidhaa hizo? Tupe maoni yako kwenye ukurasa wetu wa Facebook, bbcnewsSwahili.