Watoto wanafaa kufunzwa huduma ya kwanza?
Huwezi kusikiliza tena

GlobalNewsbeat: Watoto wanafaa kufunzwa huduma ya kwanza?

Watoto wa shule nchini Uingereza, watalazimika kujifunza huduma ya kwanza baada ya pendekezo lililowasilishwa na serikali ya nchi hiyo.

Mpango huo unanuia kufunza watoto hao mafunzo juu ya kukabiliana na majeraha ya kichwa na kupigia huduma za dharura simu. Je, unadhani ni dharura kuwafunza watoto kuhusu huduma ya kwanza?

Sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebook, bbcnewsSwahili.

Mada zinazohusiana