Ujenzi wa reli ya kisasa Kenya watishia wanyamapori Nairobi
Huwezi kusikiliza tena

Ujenzi wa reli ya kisasa Kenya watishia wanyamapori Nairobi

Ujenzi wa njia ya kwanza ya reli ya mwendo kasi nchini Kenya, zitakuwa ni habari nzuri. Lakini sehemu ya njia hiyo ya reli inajengwa kupitia katika mbuga ya wanyama ilioko katika mji mkuu, Nairobi.

Wanaharakati wanasema hali hiyo itasababisha kitisho kwa wanyamapori, wanaovutia watalii duniani kote.