Mtangazaji aliyeogopa kupokea matibabu kwenye chumba cha watu mahututi

Mtangazaji wa Televisheni na Radio Richard Bacon wa Uingereza ameiambia BBC jinsii alivyohisi alipoarifiwa atapelekwa kwenye chumba cha watu mahututi (ICU) kupokea matibabu kutokana na maambukizi aliyopata ya kifua.

Je, ingekuwa wewe ungekubali kupokea matibabu katika chumba cha watu mahututi?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com