Je, walemavu nchini mwako hukumbana na unyanyapaa?
Huwezi kusikiliza tena

Je, walemavu nchini mwako hukumbana na unyanyapaa?

Kongamano la dunia kuhusu walemavu linaanza leo mjini London Uingereza ambazo zaidi ya wajumbe mia saba ulimwenguni kote wanakutana kujadili masuala mbali mbali yanayowahusu watu wenye ulemavu.

Je, kuna njia gani za kukabiliana na unyanyapaa kwa watu wenye ulemavu?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com