Kipaji cha aina yake cha mlemavu wa kutoona
Huwezi kusikiliza tena

Je tunaweza vipi kuwafanya watu wenye ulemavu wajihisi kuwa wanathaminiwa?

Je tunaweza vipi kuwafanya watu wenye ulemavu wajihisi kuwa wanathaminiwa?

Takriban watu bilioni 1 duniani wana ulemavu wa aina fulani. Mpiga picha wa BBC Hassan Lali amekutana na msichana huyu mwenye miaka 18 aliye na ulemavu wa kuona katika kambi ya wakimbizi Kakuma kaskazini mwa Kenya. Ana kipaji cha aina yake:

Mada zinazohusiana