Joctan Cosmas Malule: Mbunifu wa mavazi ya Makeke yaliyokolea ushujaa na utamaduni Tanzania

Joctan Cosmas Malule: Mbunifu wa mavazi ya Makeke yaliyokolea ushujaa na utamaduni Tanzania

Mbunifu wa mavazi ya asili ya Kishujaa Jijini Dar es Salaam nchini Tanzania Joctan Cosmas Malule anaendelea kukonga nyoyo za wapenzi wa mitindo katika nchi za Afrika ya Mashariki na mtindo wake wa mavazi ambao ni wakufikirika na usiokuwa na mafungamano na jamii yoyote barani Afrika

Joctan alianza ubunifu wa mavazi mwaka 2011 na toka wakati huo hivi sasa anavuma zaidi na ubunifu wake mpya wa vazi la Lupahiro ambalo kwa sasa linatumika na wasanii wa muziki na filamu katika nchi za Afrika ya mashariki.

Mwandishi wetu wa BBC Eagan Salla Alimetembelea na kutuandalia taarifa ifuatayo