Mwanamke amuua mpenzi wake na kuchapisha video mtandaoni

Mwanamke amuua mpenzi wake na kuchapisha video mtandaoni

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 21 huko nchini Uingereza amechapisha video kwenye mtandao wa instagram ya mpenzi wake akiwa anabubujikwa na damu. Msichana huyo amesema alikuwa amepanga kumuua na sasa amefanikiwa.

Je, kwa nini visa vya wanawake kuwauwa wapenzi wao vinashuhudiwa kila kuchao?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com