Wapenzi huzingatia masuala gani kabla kuoana?
Huwezi kusikiliza tena

Wapenzi huzingatia masuala gani kabla kuoana?

Mwanasheria maarufu nchini Uingereza Baroness Fiona Shackleton ameunga mkono mageuzi ya sheria ya ndoa kipengee cha kutalakiana lakini amewasihi wapenzi kwamba wanastahili kuyachukulia maisha ya ndoa katika hali halisi.

Je, wapenzi huzingatia nini kabla ya kuoana?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com