Ni kwanini raia wanaishi kwa umaskini Congo licha ya utajiri wa nchi?

Ni kwanini raia wanaishi kwa umaskini Congo licha ya utajiri wa nchi?

Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo inastahili kuwa mojawapo wa mataifa tajiri duniani. Lakini watu wengi wanaishi kwa umaskini, hofu na ghasia. Mhariri wa BBC Fergal Keane anatathmini tatizo ni lipi na ni wapi palipokoseka?