Ujasiri wa Wapemba mbele ya fahali mwenye hasira
Ujasiri wa Wapemba mbele ya fahali mwenye hasira
Tazama mashindano ya kucheza na Ng'ombe kisiwani Pemba wakisheherekea mavuno ya mpunga na huu ni utamaduni uliorithiwa kutoka kwa wakoloni wa Kireno kati ya karne ya 16/17 na wamekuwa wakifanya hivi kila mwaka.
Video; Eagan Salla