Ebola bado ni Ugonjwa hatari nchini DRC

Ebola bado ni Ugonjwa hatari nchini DRC

Maandalizi ya kuendesha kampeini ya chanjo dhidi ya ugonjwa hatari wa ebola, yanakaribia kukamilika, Kaskazini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Watu wengi wanahofiwa huenda wameambukizwa virusi vya ebola katika mlipuko wa hivi karibuni wa ugonjwa huo.