Joketo Mwegelo awajibu wanaotilia shaka uwezo wake
Huwezi kusikiliza tena

Joketo Mwegelo: Wanaotilia shaka uwezo wangu hawaninyimi usingizi ng'o

Ni kweli Jokate Mwegelo ni mkuu wa wilaya pekee mwenye majina ama vyeo mbali mbali nchini Tanzania. Kwa ufupi tu ni Mkurugenzi wa kampuni ya Kidoti, Mwanamitindo, mfanyabiashara, mshereheshaji, mwigizaji, mwimbaji, mtangazaji wa televisheni nk.

Baadhi wamekuwa wakitilia shaka uwezo wake wa kuhudumu katika wadhifa huo lakini mwenyewe anasema hilo halimnyimi usingizi.

Mada zinazohusiana