KIjana anayesaidiwa kufa na madaktari Uholanzi
Huwezi kusikiliza tena

Kijana anayesaidiwa kufa na madaktari Uholanzi

Mwezi wa January msichanna mdogo kutoka Uholanzi alikunywa sumu aliyopewa na daktari kisha akala na kufariki.Euthanasia ni halali nchini humo na kifo chake kiliidhinishwa na serikali. Aurelia Burrowers hakuwa mgionjwa mahututi ila alikuwa na ugonjwa wa akili. Je, mtu anafaa kupewa uhuru wa kuamua lini atamaliza maisha yake? Sema nasi kwenye ukurasa wetu w aFacebook, bbcnewsSwahili