Tazama Watanzania walivyoomboleza kifo cha mchekeshaji King Majuto
Huwezi kusikiliza tena

Tazama Watanzania walivyoomboleza kifo cha mchekeshaji King Majuto

Msanii mkongwe na maarufu nchini Tanzania na Afrika Mashariki Amri Athuman maarufu Mzee Majuto amefariki dunia wakati akipokea matibabu kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili iliyopo Dar es Salaam Tanzania. Viongozi, mashabiki na wasanii mbali mbali walimuomboleza msanii huyo nchini Tanzania.

Mada zinazohusiana