Mwanamke awatatiza majirani kwa muziki Slovakia
Huwezi kusikiliza tena

GlobalNewsbeat 10.08.2018: Mwanamke awatatiza majirani kwa muziki Slovakia

Mwanamke mmoja ambaye amewatatiza majirani wake kwa kucheza aina moja ya nyimbo za opera tena kwa sauti ya juu sana kwa miaka kumi na sita hatimaye amekamatwa na polisi huko Slovakia.

Mwanamke huyo alicheza wimbo wa Giuseppe Verdi - 'La Traviata' tangu asubuhi hadi usiku. Ungefanyaje iwapo ungekuwa jirani wa mam huyu?

Tueleze kwenye ukurasa wetu wa Facebook, bbcnewsSwahili.

Mada zinazohusiana