Miriam Njeru: Mama anayemlea mwana bila ya mikono

Miriam Njeru: Mama anayemlea mwana bila ya mikono

Miriam Njeru alizaliwa bila mkono na sasa mtoto wake, Samuel Baraka, wa miaka mitano ndiye anayemsaidia kufanya kazi hapa na pale nyumbani. Mwandishi wetu Judith Wambare aliwatembelea Miriam na Baraka na kujionea jinsi mama na mtoto wanavyosaidiana kupitia changamoto zinazomkumba mama huyo asiye na mikono.