Michepuko ya ma 'Sugar Daddy' Kenya

Michepuko ya ma 'Sugar Daddy' Kenya

Kilichokuwa kinafanywa kwa siri zamani, sasa hivi kiko wazi na katika mitandao ya kijamii, vyuo kikuu, vilabu na hata katika instagram,wasichana wakiri bila hofu kuwa wanadhaminiwa na wazee ambapo nao kwa upande wao wanafanya mapenzi nao. Lakini shughuli ya kutatufa mdhamini au 'sponsor', tajiri inahusika na mahitaji ama ulafi? Chochote kinachosababisha haya, vijana wengi barani Afrika wanatafuta njia za kuwavutia masugar daddy na masugar mummy kwa matumaini ya kubadilisha maisha yao.