Rais Magufuli azungumza kuhusu sakat ya makontena
Huwezi kusikiliza tena

Sakata ya makontena Tanzania: Magufuli awaonya viongozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi wote nchini kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sheria sambamba na kuhakikisha wanasimamia ipasavyo matumizi ya rasilimali za umma kwa maslahi ya wananchi.

Mada zinazohusiana