Wanawake wanaowakubali wanaume 'masponsa' Kenya
Wanawake wanaowakubali wanaume 'masponsa' Kenya
Kilichokuwa kinafanywa kwa siri zamani, sasa hivi kiko wazi na katika mitandao ya kijamii, vyuo kikuu, vilabu na hata katika instagram,wasichana wakiri bila hofu kuwa wanadhaminiwa na wazee ambapo nao kwa upande wao wanafanya mapenzi nao.