Waandishi habari wawili wa shirika la Reuters wahukumiwa kifungo jela cha miaka 7

Waandishi habari wawili wa shirika la Reuters wahukumiwa kifungo jela cha miaka 7

Mahakama moja nchini Myanmar imewahukumu waandishi habari wawili wa shirika la habari la kimataifa la Reuters kifungo cha miaka 7 jela baada ya kuwapata na hatia ya kuvunja sheria.

Je, wanahabari nchini mwako wanahaki ya kujieleza?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com