Je, utahisi vipi mtu anapotamka jina lako visivyo?
Huwezi kusikiliza tena

Je, ni bora kubadilisha jina lako iwapo ni gumu kwa watu kulitamka?

Mwanamuziki Bilal Khan ameelezea changamoto anazokumbana nazo hasa jinsi waingereza wanavyotamka jina lake.Khan amewasihi watu kujaribu kuyatamka majina ya watu vilivyo.

Je ni bora kubadilisha jina lako iwapo ni gumu kwa watu kulitamka?

Tuwasiliane kwenye facebook bbcswahili.com