Mfuko wa uzazi unao nusuru maisha ya akina mama Nigeria

Mfuko wa uzazi unao nusuru maisha ya akina mama Nigeria

Miaka saba iliyopita ,Adepeju ama Peju kwa ufupi, aliwacha kazi iliyokuwa ikimpatia mapato mazuri ya uwakili na kuanza kujifunza ukunga wa kitamaduni nchini Nigeria ili kuzalisha watoto. Alitengeneza mfuko wa kuweka vifaa vya matibabu ambao umepata soko kubwa katika maeneo ya mashambani nchini Nigeria ukiokoa maelfu ya maisha. Kile alichogundua katika safari yake kilikuwa kinatisha