Haba na Haba: Unaelewa ubora wa chakula unachokula mtaani ili usipate madhara kiafya?

Haba na Haba: Unaelewa ubora wa chakula unachokula mtaani ili usipate madhara kiafya?

Haba na Haba wiki hii inaangalia umuhimu wa chakula katika uhai wa binadamu. Je unaelewa ubora wa chakula unachokula mtaani ili usipate madhara kiafya?