Je, wateja wa simu wako tayari kwa simu inayoweza kujipinda?
Je, wateja wa simu wako tayari kwa simu inayoweza kujipinda?
Mkuu wa kampuni ya simu ya Samsung amesema ni wakati wa kutengeza simu inayoweza kupindwa. Katika mahojiano na runinga ya CNBC, DJ Koh amesema kuwa uatafiti unaonyesha wateja wako tayari kwa simu inayoweza kukunjwa. Unadhani simu hii itafurahiwana wateja? Sema nasi kwenye ukurasa wetu wa facebook, bbcnewsswahili.