Maonyesho ya magari ya zamani yaandaliwa Zanzibar kuvutia Utalii

Huu ni msafara wa magari ya zamani ambayo yaliwahi kutumika katika miaka ya sitini na hamsini . Maonyesho ya magari kadhaa yakiwemo ya kawaida, yameandaliwa Zanzibar kwa lengo la kuinua kiwango cha utalii, lakini pia kusaidia watoto yatima.

Mpiga picha: Eagan Salla.