Sam Ikwae: Afuga kuku wenye thamani kama kivutio Mombasa Kenya

Sam Ikwae kutoka Mombasa Kenya ameanzisha mradi anaouita 'kuku vipenzi' wa kuwafuga ndege wakiwemo kuku kutokana na umaridadi wao wenye thamani ya hadi $700.

Mpiga picha wa BBC Anthony Irungu alikutana naye