China imedaiwa kuwakamata Waislamu milioni moja ili kuzuia ugaidi

China imedaiwa kuwakamata Waislamu milioni moja ili kuzuia ugaidi

China imedaiwa kuwakamata hadi Waislamu wa kabila la Uighur wapatao milioni moja.UN inasema kuwa kitendo hicho kinafanyika Xinjiang ambapo watu milioni 10 wa kabila hillo wapo. Serikali inalaumu wapiganaji wa Kiislamu na wanaotaka kujitenga kwa ghasia katika eneo hilo.