Sherehe za kuwapatia majina sokwe zafanyika nchini Rwanda
Sherehe za kuwapatia majina sokwe zafanyika nchini Rwanda
Majina haya hutolewa na baadhi ya watu mashuhuri duniani.Sherehe za leo walikuwepo Rais Wa zamani Wa Nigeria Olusegun Obasanjo mama Graca Mashel mke Wa marehemu Nelson Mandela , wafanyabiasha wakubwa duninia na baadhi ya wachezaji wa zamani Wa Arsenal, wanamuziki kama Akon miongoni mwa wengine.