Je unyago unapoteza thamani yake Tanzania?
Je unyago unapoteza thamani yake Tanzania?
Unyago katika utamaduni wa kiswahili, hususan katika maeneo ya pwani kama vile Zanzibar uhusishwa na muziki na mbinu za kucheza densi ambazo hushirikishwa katika mila hizo. Mila za unyago hufanywa kusherehekea kubaleghe kwa wasichana ama wakati wa harusi. Katika mila hizo , wanawake watu wazima huwafunza vijana kuhusu tendo la ngono na uhusiano wa ndoa . Hatahivyo kuna wasiwasi kwamba Unyago unapoteza thamani yake nchini Tanzania kutokana teknolojia na mambo ya kisasa .Eagan Salla alitembelea kusini mwa taifa hilo na kuandaa taarifa ifuatayo. (Digital Video)