Ndani ya ulimwengu wa 'Askari muuaji' Kenya

Ndani ya ulimwengu wa 'Askari muuaji' Kenya

Kwa mara ya kwanza kamera zimefika ndani ya ulimwengu wa mojawapo wa maafisa wa polisi Kenya wanaokumbwa na mzozo. Alimulikwa kwenye vyombo vya habari baada ya kanda ya video kusambaa ikimuonyesha akiwapiga risasi wanaume wawili ambao hawakujihami mchana peupe mnamo 2017.

BBC Africa Eye imejumuika na Koplo Ahmed Rashid anaposhughulika kuyaondosha magenge na wahalifu katika mtaa wa Eastleigh, Nairobi.

Mwandishi Jamal Osman amezungumza na wafuasi na wakosoaji wa Rashid, na anaiuliza serikali maswali kuhusu hali ya sheria na utulivu nchini Kenya.