Ramani ya bara la Afrika iliyochorwa kwenye Jabali Njombe Tanzania

Ramani ya bara la Afrika iliyochorwa kwenye Jabali Njombe Tanzania

Je umewahi kusikia ramani ya bara la Afrika iliyochorwa katika hali isiyo ya kawaida juu ya jiwe?

Huko mkoani Njombe, Kusini magharibi mwa Tanzania, watu wamekuwa wakimiminika kwenda kujionea mchoro wa ramani ya bara Afrika uliopo kwenye jiwe lenye ukubwa wa zaidi ya ekari 7 ambao haujachorwa na mwanadamu.

Mpiga picha wetu Eagan Salla alifika kujionea