Inawezekana kufanya kazi siku nne pekee kwa wiki?

Inawezekana kufanya kazi siku nne pekee kwa wiki?

Mashirika ya vyama vya wafanyakazi nchini Uingereza vinasema kufanya kazi kwa siku nne pekee kwa wiki ni jambo linalowezekana iwapo makampuni yatatumia vyema mifumo mpya ya teknolojia. Je, inawezekana kuwa watu wafanye kazi siku nne pekee kwa wiki? Sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebook, bbcnews Swahili.