Urembo bila nywele

Urembo bila nywele

Eve na Nichola ni wanamitindo. Wanakabiliwa na hali inayowafanya nywele zitoke, alopecia. Wamo katika kampeni ya kufanya ukosefu wa nywele kutambuliwa na kukubaliwa.