Je unaujua mchezo wa yo-yo?
Huwezi kusikiliza tena

Vijana hawa Kenya wamebobea katika mchezo wa yo-yo waazimia kuwa mabingwa

Benson Arudo na timu yake ya vijana watatu wana azma ya kuwafahamisha wenzao kuhusu mchezo huu wa yo-yo na kuiwakilisha Afrika katika mashindano ya kimataifa. Walimfahamisha mwandishi wetu Judith Wambare jinsi ya kucheza mchezo huo:

Mada zinazohusiana