Wanandoa walipa pauni 12,000 mbwa wao afanyiwe upasuaji Uingereza
Huwezi kusikiliza tena

GlobalNewsbeat: Wanandoa walipa pauni 12,000 mbwa wao afanyiwe upasuaji Uingereza

Wanandoa kutoka Cheshire Uingereza wametumia akiba yao ya pesa ya thamani ya pauni elfu 12 ili kuwezesha mbwa wao afanyiwe upasuaji wa moyo.

Wametumia pesa walizoekeza ili kusherehekea kumbukumbu ya siku yao ya ndoa ya mwaka wa 20.

Je, waweza kutumia kiasi kikubwa cha pesa ulizohifadhi ili kumuokoa mbwa wako sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Favcebook, bbcnewsSwahili.

Mada zinazohusiana