Kuwavumbua wavumbuaji
Huwezi kusikiliza tena

Mjasiriamali anayekuza wavumbuzi wa siku zijazo nchini Ghana

Kutana na mjasiriamali kijana ambaye ana lengo la kuhakikisha watoto shuleni nchini Ghana wanaweza kutimiza ndoto zao za kuwa wanasayansi na wahandisi.

Charles Ofori Antipem amevumbua kitabu cha sayansi kilicho na ukubwa na bei ya kitabu cha maandishi ambacho anatumai kuwasambazia watoto kote barani Afrika.

Kufikia sasa amefanikiwa kuuza takriban vifaa 5000 kama hivyo katika shule mbali mbali nchini humo.

Mada zinazohusiana