Matukio muhimu katika maisha ya Kofi Annan
Huwezi kusikiliza tena

Kofi Annan - Matukio muhimu ya aliyekuwa katibu mkuu wa Umoja wa mataifa

Katibu mkuu wa zamani wa Umoja wa mataifa amefariki akiwa na miaka 80.

Mwanadiplomasia huyo wa Ghana alikuwa Muafrika wa pili kuchaguliwa kuwa katibu mkuu wa Umoja wa mataifa

BBC Swahili inatazama nyuma maisha yake