Unatumiaje taka kama fursa eneo lako?
Huwezi kusikiliza tena

Haba na Haba: Unatumiaje taka kama fursa eneo lako?

Katika kipindi cha Haba na Haba wiki hii tunaangazia matumizi ya taka kama fursa kiuchumi. Je, wewe unatumiaje taka kama fursa katika eneo lako?

Mada zinazohusiana