Muimbaji aliyeiteka mioyo ya wa Cape Verde
Huwezi kusikiliza tena

Cesaria Evora: Muimbaji kutoka Cape Verde aliyepata sifa kimataifa kwa kipaji chake

Mtandao wa Google leo umemuenzi Cesaria Evora, muimbaji aliyepata sifa kimataifa kwa kipaji chake. Alipata umaarufu kwa kuwa muimbaji anayetembea miguu chuma, na ni shujaa ndani na nje ya Cape Verde, nyimbo zake zikiwa zinaihusu nchi yake. Alipata umaarufu kimataifa akiwa na miaka 47 kwa uimbaji wake.

Mada zinazohusiana