Muziki wa rap kwa lugha ya ishara utakuwaje?
Huwezi kusikiliza tena

Lal Daggy: Mwanamuziki wa rap anayetumia lugha ya ishara

Mwanamuziki wa mtindo wa rap Lal Daggy, ambaye jina lake halisi ni Douglas Munyendo, hawezi kusikia wala kuzungumza. Lakini hilo halijamzuia kufanikiwa katika fani ya muziki, ambapo yeye hutumia lugha ya ishara.

Anatueleza jinsi anavyoandaa muziki wake.

Video: Hassan Lali, BBC

Mada zinazohusiana