Maua yanayovutia yanayobadilisha muonekano wa jangwa Afrika kusini ni kivutio cha utalii

Haki miliki ya picha Tommy Trenchard

Wiki chache baada ya msimu wa kipupwe, mazulia ya maua ya porini yanajitengeneza juu ya ardhi yenye ukame iliyopo ukanda wa magharibi mwa bahari nchini Afrika Kusini na kusababisha muonekano wa kuvutia wa rangi za maua.

Duniani kote maua ya aina hii uota katika maeneo ya jangwa lakini huwa yanaota kwa uchache sana tofauti na yanavyoota Afrika Kusini katika msimu wake.

Kwa kawaida maua haya hudumu kwa wiki chache tu kati ya Julai mwishoni na mwishoni mwa mwezi Septemba, maua haya uota mara moja kwa mwaka na hupotea wakati wa kiangazi na hurejea tena mvua zinaponyesha mwaka ujao.

Mpiga picha wa maua haya anasema muonekano wa maua haya ya asili ambayo yanakuepo katika kipindi kifupi katika mwaka hufanya yaonekane kuwa ya kipekee zaidi.

Watu wengi wanafikiri pia kuwa Afrika kusini ni eneo sahihi ambalo unaweza kwenda kuona wanyama pori wakati maua haya yanawezekana kuwa kivutio kikubwa zaidi.

Flowers in the desert Haki miliki ya picha Tommy Trenchard
Presentational white space
A woman lying on the ground among flowers Haki miliki ya picha Tommy Trenchard
Presentational white space
Flowers in the desert at night with a house in the background Haki miliki ya picha Tommy Trenchard
Presentational white space
Flowers in the desert Haki miliki ya picha Tommy Trenchard
Presentational white space
Flowers Haki miliki ya picha Tommy Trenchard
Presentational white space
Flowers next to a body of water Haki miliki ya picha Tommy Trenchard
Presentational white space
Two pairs of feet surrounded by flowers Haki miliki ya picha Tommy Trenchard
Presentational white space
Flowers Haki miliki ya picha Tommy Trenchard
Presentational white space
Flowers in the desert Haki miliki ya picha Tommy Trenchard

Mpiga picha ni Tommy Trenchard.