GNB SWAHILI:10.10.2018 Uwanja wa Uingereza wa Wembley kuuzwa
Huwezi kusikiliza tena

GNB SWAHILI: Uwanja wa soka wa Wembley kuuzwa

Chama cha soka cha England FA, kinatarajiwa kupigia kura ombi la kuuzwa kwa uwanja mkubwa wa soka wa Wembley tarehe 24 mwezi Oktoba kwa mmliki wa klabu ya Fulham Shahid Khan.

Mada zinazohusiana