Mwanamke aliyetoroka utumwa Jamaica na kuwa malkia
Huwezi kusikiliza tena

Queen Nanny: Mwanamke aliyetoroka utumwa Jamaica na kuwa malkia

Nanny alizaliwa karibu mwaka 1686 katika jamii ya/ kabila la Asante katika sehemu ambayo sasa inafahamika kama Ghana, Afrika Magharibi.

Baada ya kusafirishwa Jamaica kama mtumwa, alitoroka na kuwa kiongozi wa kundi la watumwa huru na anafahamika zaidi kama Queen Nanny.

Hivi ndivyo alivyofikia ufanisi huo.

Makala hii ni sehemu ya mfululizo wa makala ya BBC kuhusu wanawake wa Afrika waliyobadilisha dunia.

Mada zinazohusiana