Waweza kutumia dawati la kusimama ili kuongeza motisha kazini?
Huwezi kusikiliza tena

Global Newsbeat 11.10.2018: Waweza kutumia dawati la kusimama ili kuongeza motisha kazini?

Utafiti mpya unaonyesha kuwa madawati ambayo wafanyikazi wanayatumia wakiwa wamesimama huwaruhusu kubadilisha nafasi zao mara kwa mara yanawasaidia kuongeza motisha wa kazi.

Mada zinazohusiana