Global Newsbeat: 12.10. 2018
Huwezi kusikiliza tena

Global Newsbeat 12.10.2018: Hukumu ya kifo yafutiliwa mbali katika jimbo la Washington, Marekani

Jimbo la Washington limekuwa nambari ishirini kwa majimbo ya Marekani kufutilia mabali adhabu ya kifo kwa njia ya kunyongwa baada ya mahakama ya juu Zaidi kusema adhabu hiyo imekuwa ikitekelezwa kwa misingi ya ubaguzi.